Mfumo wa Breki wa Gari: Uchambuzi wa Kina (Brake System)
Huu ni mfumo katika gari unaomuwezesha dereva kupunguza mwendo wa gari na kusimama, brake za gari husika zimetengenezwa kukizi mahitaji ya gari husika, mfano kadiri gari linavyoongezeka uzito pia brake force inatakiwa pia iongezeke. Nguvu ya mguu wa binadamu haiwezi...





